Jamani tra /institute of tax adminstration na national institute of transport mnatuangushaaaaaaaaaaa

SESEKO

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
88
Reaction score
4
WADAU KAMA MNA INFO YOYOTE JUU YA MIZIGO YA VYUO HIVYO NAOMBA TUAMBIZANE JAMANI.:tape::tape:
 
ITA mbona mzigo walishatoa tu kitambo chuo kinafunguliwa 16 sept majina,joining instr na Reg form vimo kwenye web yao
 
ITA hawajatoa ya Bachelor ila wametoa ya DIP na yale CERTIFICATE tu,ila ka vp kama umeyaona ya DEGREE naomba ututupie humu JF au sio wadau.
 
nimekusoma mkuu wa ITA tuko pamoja,mzigo kamili upo katika web yaooooooooooo:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…