Mkuu umemwaga pumba!! Yaani pumba LA uhakika!
Lakini nikawa najishangaa mwenyewe, mbona hili pumba linamezeka? Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone, mwenye ubongo na aelewe! Mimi Mkuu nilishawahi 38 zangu ziko Kasuluuuu!! Tusijeonana wabaya aisee!!