Jamani tuhabalisheni!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
613
Hivi ni kweli serikali haijatuma pesa za kujikimu na nauli kwa walimu wapya? Mbona nasikia halmashauri zingine wamelipwa!
 
Hii kazi ya ualimu naiona mbayaa!
Ndugu yangu ndo hivyo wanafanya wanavyojisikia bila kujali utaratibu,
ukiwaona kwenye vyombo vya habari akina Kasimu majaliwa wanavyohadaa hiki kizazi,
sina hamu na hii kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…