pinkmousse
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 227
- 88
- Thread starter
-
- #21
we nipigie tu ukijisikia lonely.Kati ya siku zinazokuwa ndefu kwangu ni siku ambazo nipo peke yangu. Kifupi siwezi halafu sipendi.
we nipigie tu ukijisikia lonely.
Uko difference from a huge groups of peoples, several tmys hua tunasikia watu wengi wanalaani a lonely place ! Wengi wanapenda wageni tena wa kumbonji (kulala) na siku wakiondoka ni vilio! (sitanii) na wanaondoga na mizawadi lukuki.
Sasa Shost wewe uko abnormal! So far am not sure properly if that it's good habit! Shortly nisikumung'unyie maneno sitokutendea haki nikakuvalia marsk au miwani ya mbao niache kukupa nionavyo mie ukweli wa hilo, ni TABIA MBAYA even though kwako ni nzuri by the way maadamu ume'demand comments Jf basi tegemea kupata + pos & - Neg comments.
Jumapili njema tutakutana tena majukwaani.
Nikikaa peke yangu for more than 2 hrs lazima ntalia,sipendi na siwezi kabisa
Pinkmouse darling, usipo 'reply with quotes' tunashindwa kuelewa comment zako zinatolewa kwa post zipi....thanks RR,got you 100%
Pinkmouse darling, usipo 'reply with quotes' tunashindwa kuelewa comment zako zinatolewa kwa post zipi....
Pinkmouse darling, usipo 'reply with quotes' tunashindwa kuelewa comment zako zinatolewa kwa post zipi....
I loooooove my personal space.
Napenda kuwa huru kufanya kile nnachojisikia kwa namna nnayojisikia pale nnapojisikia.
Though hua nafurahia marafiki kunitembelea from to time ila mtu akishakaa wiki basi naanza kuboreka nae.
Kwahiyo wewe bwana furahia nafasi yako yako wala usisumbuke na majina.Bora uwe mbinafsi kwa watu wengine kuliko kwako mwenyewe.