sio maumbile ni malezi
hasa under 10years uliishije
at some point mama yako alikuacha?
Uliishi kwa ndugu?
Ulikaa na maids wakakumistreat?
Shuleni were you free?au ulikuwa unaishi under pressure?
Kwa wazazi usimwache mwanao before 12 kuna vitu naamini huwa anakosa
Nilivyomaliza fomfoo nilikaa tandika uswazi kabisa kwenye vyumba vya uwani na sis wangu; nilikuwa natika nje jioni baada ya Sis kutoka job. Niitwa majina yote hayo; ni maumbile tu!
wengine mna bahati, yaani mimi hiyo space siitaki hata kidogo na hata naoishi nao nakerwa sana mtu akijidai anahitaji space na huwa sielewi
ila kwa wanangu sitaruhusu wawe na hii kitu
maofisini huwa nawaona wanalia lia chooni weee mi najionea sinema tu