Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
hebu tujikumbushe vitabu vya fasihi ambavyo tumesoma o'level na Mhusika Gan ulikuwa unampenda zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe mhusika niliyekuwa nampenda ni Ngoswe na binti mazoea.
Elimu mitaani kulikuwa na riwaya ya Harakati za Pimbi, stelingi alikuwa ni Dr. Love Pimbi
Rosa Mystica cha Ezekiel Kezilahabi.
Kilikuwepo home, niko darasa la 1 au la 2, nikakutwa na mama nakisoma, akaninyang'anya, akakificha, akasema hd nikikuwa ndo nitakisoma.
Nilipokuwa sec, ndo nikakisoma, nikatambua why nilinyang'anywa kipind kile.
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe mhusika niliyekuwa nampenda ni Ngoswe na binti mazoea.
Si ndio hiki kinaitwa HAWALA YA FEDHAThe Money Order - Sembene.