Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe mhusika niliyekuwa nampenda ni Ngoswe na binti mazoea.
Elimu mitaani kulikuwa na riwaya ya Harakati za Pimbi, stelingi alikuwa ni Dr. Love Pimbi
Rosa Mystica cha Ezekiel Kezilahabi.
Kilikuwepo home, niko darasa la 1 au la 2, nikakutwa na mama nakisoma, akaninyang'anya, akakificha, akasema hd nikikuwa ndo nitakisoma.
Nilipokuwa sec, ndo nikakisoma, nikatambua why nilinyang'anywa kipind kile.
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe mhusika niliyekuwa nampenda ni Ngoswe na binti mazoea.
Si ndio hiki kinaitwa HAWALA YA FEDHAThe Money Order - Sembene.