Jamani, tukiwa tunachepuka tutafute vifaa vikali, tusiangalie utelezi tu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuna siku nikiwa na rafiki yangu mmoja (mlevi mwenzangu) tukaingia maeneo ya chuo kikuu kimoja kwa ajili ya kuosha macho hapa na pale. Ghafla kikatokea kifaa kikali upande wangu wa kushoto, nikamshtua yule rafiki yangu na kumuuliza: "Umeona mtambo?"

Jamaa akasema, " Hawa huwa siwaangaikii kwa sababu wanavutia watu wengi". Basi ile jioni tukaingia kijiwe fulani, tukawa tunapiga ulabu, ndipo akanishtua kuwa kuna kifaa chake cha ugenini atakuja ajumuike kwenye meza yetu; mi nikamwambia poa haina shida.

Baada ya kama lisaa limoja hivi, mtoto akafika. Dah! Alikuwa ni wa kawaida sana, sana.

Jamani, tukiwa tunachepuka tutafute vifaa vikali, tusiangalie utelezi tu.
 
Huyo mkali anajua kukata mauno?

He anautelezi umateumate? Ulichokosa Kyle ndio unatafuta huku Wala sio sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…