Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Serikali kupitia EWURA imeridhia ongezeko la 18% ya bei ya umeme kuanzia January mwakani. Hilo ni pigo kwa mtumiaji na tayari ongezeko hili litakuwa na athari katika uchumi wetu. Wahanga wakubwa ni watumiaji wa majumbani ambao wenyewe hawana wa kumtwisha zigo hilo mtu yoyote tofauti na viwanda ambavyo vinaweza kufidia kwa kupandisha bei ya bidhaa zake.
WanaJF mnalionaje hili?
Source. TBC1
Sijui ndiyo maandalizi ya kuwalipa Dowans zile 185bil ?Si wanasema tumeridhika kukaa na rais Mwizi.
Ni 18% mkuu.mbona kama nimesikia ni asilimia 19 (19%)
%
Ni 18% mkuu.
Ndiyo hivyo mkuu, yaani punda afe mzigo ufike.duh twafa
Take a breath and drink some water bro! The headline error is too scary..hope you mean umeme!