Jamani tuombee Amani ya Dunia iwe Misikitini au Makanisani

Jamani tuombee Amani ya Dunia iwe Misikitini au Makanisani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hili ni ombi langu kwenu wote wenye Mapenzi mema na Dunia hii iliyoumbwa na Mungu wa mbinguni

Jumaa Mubarak 😀
 
Huko tutakamuliwa upepo na manabii mpaka tutembelee rim
 
Hili ni ombi langu kwenu wote wenye Mapenzi mema na Dunia hii iliyoumbwa na Mungu wa mbinguni

Jumaa Mubarak 😀
Kwanza jiombee amani nyumbani. kwako, ukifanikiwa ndiyo iombee dunia.

Mpaka leo unaishi kwa kujijengea jela, halafu unajidanganya una amani?
 
Hili ni ombi langu kwenu wote wenye Mapenzi mema na Dunia hii iliyoumbwa na Mungu wa mbinguni

Jumaa Mubarak 😀
Weweeeee, kuna watu wanataka kwenda kuzawadiwa mabikra 70 na swimming pool za divai wewe unaweka kauzibe.
 
Back
Top Bottom