Nimepata taarifa eti kuna baadh ya fomu za mikopo zimekosewa na hivyo zimerudishwa ili zirekebishwe! Swali langu ni je, hizo fomu zinarudishwa posta au ni majina yanatolewa? halaf nimejaribu kupekenyua hesb ila sijaona hata Tangazo!! Kama kuna anaelijua hili anisaidie.