Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Unamlaani mtoto kumuonyesha k ya mtu mzima
mm nahs LAANA
Mimi ndo siwezi na watoto.
Lakini pia hkn kitu kizuri kukataliwa na mzee mwenzio, hkn maneno maneno hakuna kashfa,yaani Taratibu tu mnakua hamuendelei kuwasiliana

Lakini mkikutana ktk mijadala km hii kila MTU anatunza heshima,hisia za mwenzake ,maana unajua kuwa Moyo wake hakuridhia so haina haja ya kukashfiana wala kukandiana
 

ahahaha msg SENT
 
kuna kitoto kina mwezi wa 5 kinaomba namba yangu!ukikiangalia sasa!kimevaa maviatu mekundu as artist!hhaha hakana ht la maana!kuutwa kunikera!kakome kuanzia leo na najua kamejijua!mxiew
Na akome kusumbua mama zake
 
Ndiyo vizuri mbona hata mtaani ni hivyo hivyo! Tunapewa hadi no unamwambia nitakujulisha baada ya hapo unaitupa lakini mkikutana mtaani tabasamu tu japo moyo unauma [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ndiyo vizuri mbona hata mtaani ni hivyo hivyo! Tunapewa hadi no unamwambia nitakujulisha baada ya hapo unaitupa lakini mkikutana yanajaa tu japo moyo unauma [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yeah na maisha yanaenda ,siku unamkumbuka unatuma SMS, hata asipojibu unaridhika kaisoma ,mkikutana salamu km kawa

Sio umemkuta sehemu unakuja kumfungulia Uzi,au unamvizia a comments upopope ,kisa alikutosa ,aaargh hii si poa
 
wanaume weng sana sana akikupa histry yake ya utoton atakuambia mama alifight sana kunilea... ding hakuwa akisomeka!leo hii haya haya malonyalonya yanakashifu single moms!
angalia wanamuziki weng wamekuwa raised na single parent! matako yake km chips
malonyalonya hahahahahahahahahahahahahahahahaha hili bifu zito sana
ila mi nawapenda sana tu masingle mother sijui kwanini
 
malonyalonya hahahahahahahahahahahahahahahahaha hili bifu zito sana
ila mi nawapenda sana tu masingle mother sijui kwanini

wapende!uwatie moyo!nao wanahitaj kupendwa! nimekwazika sana na comment ya yule dogo
 
Yeah na maisha yanaenda ,siku unamkumbuka unatuma SMS, hata asipojibu unaridhika kaisoma ,mkikutana salamu km kawa

Sio umemkuta sehemu unakuja kumfungulia Uzi,au unamvizia a comments upopope ,kisa alikutosa ,aaargh hii si poa
Hapa tu kuna sms ya mzinguaji imeingia tuna peana hi basi siku zinaenda, nazani hao ni utoto ila wapo hata awe na umri mkubwa hawabadiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…