kijana umepoteaHahahah!!
Ni dhambi kiwa muhenga kwaniHumu watu muna miaka mingii... Kila uzi mtafuta mpenzi anahtaji kuanzia miaka 28-40 tena huyu ni mwanamke akitafta mwanaume, jiulize huyu mtu ana linganaje
Hahahaaa. Wakikujib nitag.Watu wazima wanaazaia miaka mingapi?
Haahahhaah amekuja msafi hatakii makwaruzanoSi unaona. Ananiogopa huyu putin anakwepa kwepa bifu na mimi....ngoja tumu teme nayeye putuuuuuu..[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Binamu jana sijakuona bila shaka uko poaHahahaaa. Wakikujib nitag.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa. Binamu si wajua tena weekend yabidi kuwa busy na mambo ya nyumbani ili Wiki ikianza kila kitu kinakuwa poa.Binamu jana sijakuona bila shaka uko poa
Fungu mbili za nini mkuu?alafu humu kila mwanamke kafungasha fungu mbili
Nikweli rafiki yangu nimekua sipatikani muda mwingi ila tupo pamoja na muda sio mrefu tutaanza kukesha tena ππkijana umepotea
ukikua utaelewa tu mkuu usipende kusikiliza sana hip hopFungu mbili za nini mkuu?
Heheh! Sawa mkuu ngoja niongeza speed ya kula Blue-band ili niwahi kukua..ukikua utaelewa tu mkuu usipende kusikiliza sana hip hop
sawa baba SHeheh! Sawa mkuu ngoja niongeza speed ya kula Blue-band ili niwahi kukua..
naona tabasamu la bashasha kabisaππππ