Jamani tuwe wa wazi!!!

Jamani tuwe wa wazi!!!

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Mwanamke unayempenda unamweleza vile unavyojisikia juu yake ila ujue ukweli.
Inapaswa pia na wale tusiowapenda (tunaowachukia) tuwaeleze vile tunavyojisikia juu yao ili wajue ukweli.
Kwanini tunachagua mambo ya kuelezana?
 
Mhhh kumweleza someone kuwa humpendi wakati yeye amekufa ameoza kwako ni issue
by the way love inaweza kugrom hata kwa yule ambaye humpendi
 
Mwanamke unayempenda unamweleza vile unavyojisikia juu yake ila ujue ukweli.
Inapaswa pia na wale tusiowapenda (tunaowachukia) tuwaeleze vile tunavyojisikia juu yao ili wajue ukweli.
Kwanini tunachagua mambo ya kuelezana?

hebu jaribu kufanya hivyo halafu utuletee majibu hapa mkuu
 
Unaweza kudhani kuwa unamchukia mtu flani but kadri siku zinavosogea ukajikuta unampenda na zaidi unamhitaji!
 
mh! mbona huu ni mtihani wa Permanent Head Damage (Phd) na mimi hata vidato bado mkuu?
 
Tatizo si kmueleza muhusika humpendi,ila ni kifuatacho baada ya kumueleza hiyo habari. Wengine wanalaumu na kulalama utadhani wanakuombea laana mbele za Mungu......!tena kuna baadhi ya makabila wako dhaifu sana mpaka unaanza kuhisi mawazo yatamuua siku chache zijazo....
 
Kama humpendi mtu hata ukimwambia itasaidia nini?
 
Back
Top Bottom