Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

wanafunzi wote wa vyuo vikuu andamaneni tutaona kama polisi watatosha. maana hawa magamba wanategemea sana polisi
 
ningekuwa jirani na udom ningewasaidia hata lita tano za petroli ilikurahisisha ufanisi wa zowezi hilo, naomba ikiwezekana wanafunzi wote tz elimu ya juu waogme ili tuone mwafwaka kama watafukuzwa wote au itakuwaje, serikali imejaa wajinga na wezi watupu na haya ndo matunda yake.
 
madai yao ni nini, na wameshagoma au wako kwenye mipango?

Mpendwa issue iko hot maandamo yanatarajiwa kesho asubuhi hawajapa mikopo yao pia wanadai uongozi wa juu wa chuo unatumia nguvu zaidi za kisaisa pia jingine marais wote wa vyuo vikuu watakutana ijumaa kujadili namna ya kuandaa mgomo wa vyuo vyote nchini kupinga utaratibu uliowekwa na serikali namna ya kuchanganua wanaostahili kupata au kutokupata mikopo.
 
Hakuna haja ya kugoma. Waendelee na masomo.

Watavunjwa fuvu na kudhalilishwa bure na FFU wasio na huruma.

Lakini seriously, hii nchi ina FFU wangapi? Nahisi kama kodi yetu yote inatumika ku-maintain hili jeshi dhalimu lisilo na faida yoyote kwa wananchi.
 
Sasa nadhani TZ nzima imeshanuka............... ni bandika bandua.
 
Waanze na Ofisi ya Mlacha, wakiweza wamcameruni kabisa!
 
Kuna siku maandamano yatazidi hao polisi watumiao nguvu za chama!
 
Thanx udom,ndo ninachowapendea hcho.where z Sua nd Ardhi?
 
Likiisha hili linaanza hili. Enyi viongozi wa juu si mufungue macho muone yanayoendelea mjitoe tu,jamani wahurumieni hao FFU maana daily wako na mabomu, waacheni wapumzike hata wiki wakahudumie ndoa, maana kwa mpango huu weza wakapigiwa wake zao, daily wako vitani.
 
Back
Top Bottom