papaa masikini Senior Member Joined Mar 5, 2011 Posts 176 Reaction score 69 May 12, 2011 #1 Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa kwenye kila jambo.ni hayo tu ,kila laheri udom wote.
Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa kwenye kila jambo.ni hayo tu ,kila laheri udom wote.