Mlimazunzu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 415
- 53
mbona wakati mwingine Lizzy,
waweza kuta mume anakaa na shemeji zake wengi tu,
lakini hakuna mikwaruzo wala migongano yeyote!
Mlimazunzu angalia usije suswa na ukoo mzima!!!!!!!
Sababu ndugu wa mke mara nyingi hawajikwezi sijui nisemaje yaani hawa nguvu sana labda sababu dada ndo kaolewa.
Sasa hawa wa mume (baadhi) wanapenda sana sijui hata nitumie neno gani, sijui mashindano, sijui kaka yao ndo kichwa nyumba aahh hata sijui
Yes...mara nyingi anakuwa kwenye dilema...hajui afanye nini hasa! Kukwambia moja kwa moja kuwa uwepo wa ndugu zako unamkwaza na angependa waondoke/uwaondoe anashindwa! Wengine anaweza kwenda mbali zaidi kwa kutengeza 'zengwe' la kukufanya uwachukie hao wageni.
Lazima kutakuwa na tatizo si hiv hiv mtu anaweza kuchukia watu bana.
Pia mi nadhan kwa ndugu wa kuja na kuondoka, au kaja kusalimia toka kijijin kwa muda na ataondoka huyo hana shida sana, na hata kama anamatatizo ni rahis tu wala hakupi presha kabisaaa mana si unajua ni mpitaji?
TATIZO KUBWA
Ni baadhi ya wale ndugu wa mume ambao akifika hapo nyumban anataka kujifanya yeye ndo haswaaaa kila kitu anajua na kujifanya anapanga taratibu za ndani kwa khaaa!! Wa hiv ntamkomesha akija anga zangu
Eti unashida nyingine za kawaida kabisa unaweza mwambia shemej/wifi unasubiri mpaka ndugu yako mhhh!
Ila nyie wababa mjue wakat mwingine wake zenu si kwamba hawawapend ndugu zenu ila ndugu wanachangia sana, tena wanawake wengine kukwambia kila kitu anachofanya nduguyo anaona kama utaona kama hawepend ndugu zako au kuwagombanisha bora tu anyamaze, vikizid ndo hayo sasa.
oraiti Dina,sasa unamwambiaje huyo bwana
awafukuze hao ndugu au,
kwani yawezekana wapo pale kwa mahitaji mbalimbali,
shule, ugonjwa n.k.
Weee nae bwana unaanza kutuchanganya sasa mahitaji mbalimbali hapo inaeleweka kama ni ugonjwa hilo halina ubishi ila shule aende boarding zimejaa kibao tu siku hizi
sasa hapo utamkomesha vipi Uda'a,
hebu nieleze kidogo!
Hahaha mi staki kumwaga upupu..
Kama itokea Yaani ntamfunza adabu siku akija tena hapo atakuwa kanyooka na atawaambia na wenzie huko kabla hawajaja waitapa habar yake.
Ila mi nashukuru wapo mbali na kila mtu na maisha yake. Habar zakupishana kwenye kwny korido mnasalimiana kwa mabega hakuna.
Sio kukuchanganya Mlimazunzu,
katika hali ya kawaida kabisa hao ndugu sidhani kama ni rahisi,
kuja kwako na kulundikana bila sababu ya msingi,
kwani ninavyojua mimi wanakuja hapo wakiwa kila mtu ana sababu yake!
Na hasa ukizingatia wewe ndo kaka mkubwa , kila jicho linakutizama weye!!!na wazazi walishatangulia mbele ya haki!!!!!!!
Ndo maana nikasema kuwa yawezekana wengine wamekuja kwaajili ya,
shule, matibabu na sababu nyingine za msingi tu!!!!!!!
wewe Lizzy!!!this dont sound good umejiandaa kwa bifu
this is how it start dear
next time unawakuta sebuleni na kaka yao unawasalim wanajifanya wako bize kwenye mazungumzo
kwahiyo uda'a kiukweli kabisa,
najaribu kukusoma hapa,
ule uwepo wa shemeji/wifi nyumbani kwako huupendi kabisa!,
kwako ni kero au sio?
kwahiyo uda'a kiukweli kabisa,
najaribu kukusoma hapa,
ule uwepo wa shemeji/wifi nyumbani kwako huupendi kabisa!,
kwako ni kero au sio?
Wadogo wa mke wangu (wa KIKE) marufuku kufika nyumbani kwangu - Maana wanaweza kunivunjia ndoa!
Tena wanaongea kilugha chao hata hawajali kama upo iwapo wewe ni kabila lingine..
Nadhani hili suala liangalie pande zote kwa mke na ndugu wa mume pia...huwezi kumlazimisha mke afanye kila kitu kukuridhisha au kuwaridhisha ndugu wasiomfanyia mke hivyo hivyo..
Unapooa au kuolewa lazima ujue nafasi ya mwanandoa mwenzio, wazazi&ndugu zako, wazazi&ndugu zake na marafiki zenu..
Sio kukuchanganya Mlimazunzu,
katika hali ya kawaida kabisa hao ndugu sidhani kama ni rahisi,
kuja kwako na kulundikana bila sababu ya msingi,
kwani ninavyojua mimi wanakuja hapo wakiwa kila mtu ana sababu yake!
Na hasa ukizingatia wewe ndo kaka mkubwa , kila jicho linakutizama weye!!!na wazazi walishatangulia mbele ya haki!!!!!!!
Ndo maana nikasema kuwa yawezekana wengine wamekuja kwaajili ya,
shule, matibabu na sababu nyingine za msingi tu!!!!!!!
Tena wanaongea kilugha chao hata hawajali kama upo iwapo wewe ni kabila lingine..
Nadhani hili suala liangalie pande zote kwa mke na ndugu wa mume pia...huwezi kumlazimisha mke afanye kila kitu kukuridhisha au kuwaridhisha ndugu wasiomfanyia mke hivyo hivyo..
Unapooa au kuolewa lazima ujue nafasi ya mwanandoa mwenzio, wazazi&ndugu zako, wazazi&ndugu zake na marafiki zenu..[/QUOTE]
Nimeipenda hii kauli yako ya mwisho!!!
big up BJ!!!!!