Jamani ukitaka kubadili kozi tcu sasa hivi inawezekana

DULLAHYO

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
24
Reaction score
2
wadau nisaidieni et ukitaka badili kozi tcu sasa hivi inawezekana?
 
Inawezekana ukipeleka barua ya uthibitisho wa chuo unachotaka kuhamia pale TCU. But lazima ufanye haraka sana maana muda umeenda sana!!
 
Kubadili kozi ufanyika vyuoni lakini kubadili chuo hii sina uhakika sana lakini ukiwapigia TCU wana majibu mazuri zaidi mana walitoa nafasi hiyo ila muda ulishakwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…