B bojuka Senior Member Joined Sep 9, 2010 Posts 128 Reaction score 1 Nov 3, 2010 #1 Nilisikia kuwa baada ya uchaguzi kuna mgombea urais atakufa waandishi wa habari wathibitisha haya . Kama sio kutisha watu wasigombee ni nini?
Nilisikia kuwa baada ya uchaguzi kuna mgombea urais atakufa waandishi wa habari wathibitisha haya . Kama sio kutisha watu wasigombee ni nini?
Bob_Dash Member Joined Nov 1, 2010 Posts 90 Reaction score 13 Nov 3, 2010 #3 Yule mzee Kichaa yule, nadhani amekosa pesa ya kulipa MAJINI YAKE sasa yametia mgomo, ndo maana anabaki ku bwabwaja tu pumba.
Yule mzee Kichaa yule, nadhani amekosa pesa ya kulipa MAJINI YAKE sasa yametia mgomo, ndo maana anabaki ku bwabwaja tu pumba.
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 997 Reaction score 1,348 Jun 5, 2019 #4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gustavo Gaviria JF-Expert Member Joined Nov 19, 2018 Posts 630 Reaction score 1,113 Jun 5, 2019 #5 Jf mnafukua makaburi
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Jun 5, 2019 #6 Hivi ni kweli eti jamaa ana betri kisaidia moyo au maneno ya watu tuu
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Jun 6, 2019 #7 Mtikila vipi!!