Niliwahi kupata vimelea vya hepatitis B, nikashauriwa kula miwa kwa wingi(natural sugarcane), mpaka sasa tatizo silioni tena.
ANGALIZO: vimelea/ vijidudu vya hepatitis B, vina tabia ya kuwa dissolved unapoanza kuvitibu kwa nija yoyote ile iwe natural au artificial, na kuonekana ugojwa umeisha, hivyo USIACHE kula miwa each and every day, KUJILINDA ZAIDI
acha kutumia vilevi vikali, na hata visivyo vikali usitumie kwa wingi. POLE SANA