kwa utaratibu huu...ningeweza kukushauri muanze na zile za bomani (serikalini) huku mkiendelea kufikiria na kuangalia mazingira pengine mmoja anaweza kubadili dini hapo baadae. lakini kama huko pia ni issue inaonekana kila mmoja hayuko tayari kwa mwenzie,
Kama hakuna mapenzi ya kweli its very costful, unaweza badili dini huko mbeleni mkatosana vile vile mzee unabaki mwenyewe hata haueleweki, kurudi mwanzo unaona aibu kuendelea nako ndo ivo tena...! have time for it plz
Kaka kwani hiyo dini imejitokeza sasa hivi, hukujua kama ni mna tofauti ya kidini. Hapo hakuna cha zaidi chagua mke au dini kama hamuwezi kucompromise, msipotezeane muda.
du pole kama kweli huyo mwanamke anakupenda hawezi kukuambia maneno kam hayo
Sina takwimu zaku-backup maelezo yangu ni ushauri binafsi tu..........kwa swala linalohusiana na imani...dont compromise....hata kidogo. Unawezakua blinded by love kwa sasa ila huko mbele ya safari na mtakapo pata watoto trust me itakucost sana na unaweza kua na maisha yasiyo na furaha na yaliyojaa majuto.
hata mie cwez badil din coz mtaonekana dhaifu sana kwa mwanamke! Na ndugu zangu hawatanielewa kabisa..cwez badili dini ndugu ingawa nilikua nimeridhia kufanya hvo bt kabla nikawa nafikiria ndo nikaamua kuomba ushauri wenu coz najua hamuwezi nitupa!