AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kuna mother yeye anapenda sherehe kuliko kula kila mwisho wa mwezi na mwanzo wa mwezi kwake kuna sherehe mziki mkubwa na wageni waalikwa kwa hio people's are very different from what they have been doing for yearsvijana wa sasa wanaona ufahali mkubwa sana kufanya mahafali hata kama hali hairuhusu
Kulazinisha vitu vilivyo nje ya uwezo wenu kwa sababu ya status ni ujinga sana, anayelazimisha hilo ni mbinafsi sana.Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Nashangaa, graduation sio kitu cha muhimu hivyo. LolWatu tumesota 5 years kutafuta degree na graduu hatukufanya π,sema labda kwa kuwa ni mdada
Mtumie message ya hongera then mwambie hali ngumu haupo poa. Kama unaona noma UMWA ghafla waje wakuangalie wewe.... Both team to scoreNaamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Unawajua watoto wakike Mkuu na Sherehe!?Graduation ina umuhimu gani as long as amehitimu?
Yaani graduation ya nini? VETA?
mie nachoka tu kwa kweli. πππ
Mkuu usiposhangaa ya firauni, utastaajabu ya mussa!Yaani graduation ya nini? VETA?
mie nachoka tu kwa kweli. πππ
Mahafali hayana maana ...kama amepata ujuzi inatosha ....aje mtaani apambanee kupata ajira au kujiajiri....periodNaamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Mpambanieni nayeNaamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Hongera babu, Lea kamjukuu kako ako ndo katakua karafiki kako..!!Aisee kataa kabisa hiyo makitu,mi nilisomesha na mwisho kufikia binti yangu achukue cheti akaweka mezani bili kilo 8 ili apewe cheti nikatoa cash.π₯²
Tokea hapo,sikumsikia tena mpaka siku kijana wangu ananieleza kwamba dadaake ana mimba kuubwa tu.
Nilibisha sana baadae nikampata
Kweli bana anayo,na sasa kamjukuu kana miaka mi 3 hivi baba hajulikani.
Nimechoka
Ushauri wa Mamangu kabisa huu πGraduu ya ufundi wa umeme wa magari anaupa umuhimu wote huo?? πΉ
Mwambie aache ujinga, huo muda wa kuandaa mavitu ya kijinga angeanza kushinda garage kusaka michongo..
πΉπΉπΉ Hujambo yako kijana wangu?Ushauri wa Mamangu kabisa huu π
Sijambo kabisa mama ,ile hela ya graduu utanipa nifungue japo hata kibiashara ka kuzalisha Tsh 5,000 kwa siku ππΉπΉπΉ Hujambo yako kijana wangu?