Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Duuh polee sana, 😂😂😂Yani sio kwamba hakajasoma ila ameona mtaani ajira kachu kameenda kujibust 🤣🤣🤣🤣 Sasa bahati mbaya sana kakuta bro, pesa tetele na kamenizoea maana kamekula sana michuzi yangu kipindi nipo njama.
Dah,
Jamani ushauri wenu unahitajika, Graduation inataka kunitoa roho
Lawama zote ni kwenu walezi mnastahili kuchapwa fimbo Kwa kushindwa kumlea huyo dogoNaamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Achana nayeNaamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Kalast Born kanakusmbua.Kaambie kamsumbue baba akeNaamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Sherehe za Kuhitimu ni kwa watu dhaifu. Cheti ni kwa werevuGraduation ina umuhimu gani as long as amehitimu?
Fundi umeme anataka graduation ya aina gani? Amepata kazi?Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.
Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.
Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,
Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
baada ya elimu ngazi ya juu kueleza ngazi za chini wasitumie majoho kwenye mahafali, kwasasa kidato channe watu wanapiga suti kabisaKuna mother yeye anapenda sherehe kuliko kula kila mwisho wa mwezi na mwanzo wa mwezi kwake kuna sherehe mziki mkubwa na wageni waalikwa kwa hio people's are very different from what they have been doing for years