fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
hapana usiachane nao. nenda hatua ya pili ya ku log in user name na password - komalia hapo. maana yake nikuwa ile mpesa imepokelewa na ni wewe kukomaa na page ya user name na password. HESLB ni sumbufu kwa ujumla - haijawahi tokea kitu kama usumbufu uliopo mwaka huu. jaribu asubuhi sana.