Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Mimi ni miongoni mwa mawakala ambao kilio chetu ni kufanya kazi bila malipo ( commision ).Toka mwezi wa 12/2011 sijapewa SECOND SIM kila ukienda kwenye Office za Vodacom hapa mjini Mwanza wanasema tunasubilia zitumwe kutoka Dar es salaam. Na haya yote tunafanyiwa na mawakala wakuu mnao waweka tuwe chini yao.Na serikali ijuwe vodacom ina mawakala wengi nchi nzima lakini hawawajui hao mawakala wao ndio maana tunapata tabu kama izi. Kuna baadhi ya watu wanafaidika wenyewe kwa kutulazimisha tulipie 60000.00 watutengenezee hiyo 2nd SIM. VODACOM JAMANI MTUONEE HURUMA.