Jamani vp kuhusu post za kusoma kutoka wizara ya KILIMO

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
191
Wandugu nimeona wizara ya afya imetoa nafasi za certificate na diploma katika course mbalimbali, mwenye taarifa yoyote kuhusu wizara ya kilimo kama wametoa au wameshatoa??????
 
mbona kimya jamani. Tunaopenda kilimo tupo wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…