Jamani vp matokeo ya Taifa stars U-23 huko Kameruni?

Jamani vp matokeo ya Taifa stars U-23 huko Kameruni?

Lighondi

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
581
Reaction score
184
Leo timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu wanaume chini ya miaka 23 imecheza na wenzao wa Kameruni. Matokeo yapoje maana sina apudate yoyote mpaka mda huu.

Naomba msaada kwenye tuta!!
 
nimesikia tumefungwa 2 kwa 1...kama ni kweli basi hayo ni matokeo mazuri na ya kutoa matumaini!
 
nimesikia tumefungwa 2 kwa 1...kama ni kweli basi hayo ni matokeo mazuri na ya kutoa matumaini!

Du mkuu unafurahisha sana. Kufunguwa ni matokeo ya kufurahisha? basi kama ndio hivyo tungekuwa tunafurahi kila siku.
 
Matokeo katika mechi hiyo ya U-23 African Olympics Qualifiers Cameroon 2-1 Tanzania, hope hao Wanugu wakija shamba la bibi tunawabanjua bila wasiwasi
 
Tungepigwa 3 kwa 1 ila ushujaa wa Shaaban Kado kudaka penati umetuokoa. Mfungaji wa goli la Tz ni Thomas Ulimwengu.
 
Back
Top Bottom