Lighondi JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 581 Reaction score 184 Mar 27, 2011 #1 Leo timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu wanaume chini ya miaka 23 imecheza na wenzao wa Kameruni. Matokeo yapoje maana sina apudate yoyote mpaka mda huu. Naomba msaada kwenye tuta!!
Leo timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu wanaume chini ya miaka 23 imecheza na wenzao wa Kameruni. Matokeo yapoje maana sina apudate yoyote mpaka mda huu. Naomba msaada kwenye tuta!!
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,345 Reaction score 10,885 Mar 27, 2011 #2 nimesikia tumefungwa 2 kwa 1...kama ni kweli basi hayo ni matokeo mazuri na ya kutoa matumaini!
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Mar 28, 2011 #3 mmefungwa 2-1
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Mar 28, 2011 #4 Gang Chomba said: mmefungwa 2-1 Click to expand... wamefungwa 2-1 jana taifa staz tumempiga mtu 2-1
Bongolander JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 5,067 Reaction score 2,210 Mar 28, 2011 #5 Nyandaigobeko said: nimesikia tumefungwa 2 kwa 1...kama ni kweli basi hayo ni matokeo mazuri na ya kutoa matumaini! Click to expand... Du mkuu unafurahisha sana. Kufunguwa ni matokeo ya kufurahisha? basi kama ndio hivyo tungekuwa tunafurahi kila siku.
Nyandaigobeko said: nimesikia tumefungwa 2 kwa 1...kama ni kweli basi hayo ni matokeo mazuri na ya kutoa matumaini! Click to expand... Du mkuu unafurahisha sana. Kufunguwa ni matokeo ya kufurahisha? basi kama ndio hivyo tungekuwa tunafurahi kila siku.
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Mar 28, 2011 #6 Matokeo katika mechi hiyo ya U-23 African Olympics Qualifiers Cameroon 2-1 Tanzania, hope hao Wanugu wakija shamba la bibi tunawabanjua bila wasiwasi
Matokeo katika mechi hiyo ya U-23 African Olympics Qualifiers Cameroon 2-1 Tanzania, hope hao Wanugu wakija shamba la bibi tunawabanjua bila wasiwasi
V Vampire Member Joined Feb 20, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Mar 28, 2011 #7 Tungepigwa 3 kwa 1 ila ushujaa wa Shaaban Kado kudaka penati umetuokoa. Mfungaji wa goli la Tz ni Thomas Ulimwengu.
Tungepigwa 3 kwa 1 ila ushujaa wa Shaaban Kado kudaka penati umetuokoa. Mfungaji wa goli la Tz ni Thomas Ulimwengu.
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 444 Mar 28, 2011 #8 Hatariiiiiiiiiiiiii 3-1???????
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Mar 29, 2011 #9 Brvo mzee wa kuchonga Julio,bado mvua zaja...