Ivi deadline ya kuripoti kwa first year SAUT ni lini?
Maana mm nilichaguliwa uko bila ya kujua na mkopo wng umepelekwa uko uko.na kwa sasa nishalipia cost zte za udom, uku nasubr tcu watangaze majina ya waliohamishiwa vyuo.
Sasa km sitokuwemo ktk majina hayo nataka nirud SAUT ivi itawezekana?na udom wanaweza kunirudishia pesa zangu?
Naomben mnisaidie wanajf.