kwa udom uwezekano wa kurudishiwa hela zako upoo ila utasumbuka sana but you may try your best! ila kama utakuja itakubidi usubiri mpaka wanafunzi wote wamalize usajili than u may com
na cha kuongezea kama utaamua kwenda udom na mkopo uko saut utapata tabu kwa muda usiojulikana coz process za kuhamisha mkopo ni ndefu au kama nini anza kutoka mbio sasa ivi kabla ya kufika chuoni