Ndio wote tunawaheshim ila from childhood kunyonyeshwa na mama kunatengeneza bond isiyovunjika milelehii thread imerudiwa???
"Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako." ss anayemuheshimu mama peke yake amri ya 5 inajieleza!!!
oneza hili wababa huchukia usumbufu/uharibifu wa watoto wakati wamama tunaupenda na watoto wanajua hili.Love us watoto as tunawapenda na kujitolea zaidi ya baba zenuMama mama mama mama huyoooooooooooooo!!!!
Mapenzi ya mama kwa mtoto ni makubwa sana, hushangai mama ananaweza akawa anateswa na baba hata kupigwa lkn haondoki kwa sababu ya watoto, anasema watoto wangu watateseka. Mama anavumilia mateso kwa sababu ya watoto wake.
Wakati mwanaume hata mke akifa leo miezi michache tu kashaoa. Dah mama kwa kweli akiwepo hata kama baba hayupo maisha yataenda. Lakini baba akishapata kamtu huko nje nyie hata hawakumbuki tena.
Dah mama mama...........
Ukiangalia kwa undani utakuta wote wale waliokuwa wantoa shukurani zao kuzielekeza kwa mama,historia ya maisha yao wamelelewa na mama tu,either baba amefariki au walitengana muda mrefu inaweza ikawa hata tangu ya utoto,kwa hiyo mapenzi waliyokuwa ni ya upande mmoja zaidi
Ukiangalia kwa undani utakuta wote wale waliokuwa wantoa shukurani zao kuzielekeza kwa mama,historia ya maisha yao wamelelewa na mama tu,either baba amefariki au walitengana muda mrefu inaweza ikawa hata tangu ya utoto,kwa hiyo mapenzi waliyokuwa ni ya upande mmoja zaidi
Hebu wana jf tuliongelee hili, kwa ushuhuda nilionao naona watoto wana mapenzi sana na mama zao kuliko baba. Hebu tuangalie mifano michache, nyimbo nyingi zinazoimbwa dedication ni kwa mama, watu wakipewa nafasi ya kutoa shukrani mara nyingi mama anatajwa tena bila kumuhusisha baba, juzi tuzo za kili wasanii wengi walidedicate tuzo kwa mama, tukiulizana hapa kati ya baba na mama nani unampenda wengi tutajibu ni mama. Mimi najiuliza kwa nini baba mara nyingi hana nafasi mioyoni mwetu? Jamani tatizo liko wapi?
Mama alinipa hifadhi ya kisiasa miezi tisa. Baada ya miezi tisa nikaja duniani. ilikuwa nikifumba macho nikiamka mama ananiangalia, nikilia anajua ninachotaka. Nilimnyima uhuru muda huo na baada ya mimi kutokea, baba ilikuwa anakuja jioni tuu. Love u sweet mama.
Watoto wangu hawapo hivyo,mara nyingi hata ukija kwangu utasikia baba,,,,,,,,babaa haziiishi ndani yani jinsi gani watoto wangu wanavyoonyesha mapenzi yao kwangu,ila mara nyingi ni mtazamo wa mama kuwa mdomoni zaida umekaa ki nature tu.nadhani umenisoma,kwa maelezo zaidi ni PMHebu wana jf tuliongelee hili, kwa ushuhuda nilionao naona watoto wana mapenzi sana na mama zao kuliko baba. Hebu tuangalie mifano michache, nyimbo nyingi zinazoimbwa dedication ni kwa mama, watu wakipewa nafasi ya kutoa shukrani mara nyingi mama anatajwa tena bila kumuhusisha baba, juzi tuzo za kili wasanii wengi walidedicate tuzo kwa mama, tukiulizana hapa kati ya baba na mama nani unampenda wengi tutajibu ni mama. Mimi najiuliza kwa nini baba mara nyingi hana nafasi mioyoni mwetu? Jamani tatizo liko wapi?