fundiaminy JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 354 Reaction score 52 Jul 9, 2009 #1 imebainishwa kuwa kama picha yako ya udogoni inaonyesha kuwa umekula jiwe,umeweka usongo,sura ya kazi,ama kwa ufupi umekasirika basi life yako ya uchumba ama hata ya ndoa iko mashakani.mmmmh!wakuu hizo picha zenu za utotoni zipo tuzione???
imebainishwa kuwa kama picha yako ya udogoni inaonyesha kuwa umekula jiwe,umeweka usongo,sura ya kazi,ama kwa ufupi umekasirika basi life yako ya uchumba ama hata ya ndoa iko mashakani.mmmmh!wakuu hizo picha zenu za utotoni zipo tuzione???
Shishi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2008 Posts 1,242 Reaction score 42 Jul 9, 2009 #2 Mmm hii kali.hebu tuanze analysis na picha yako?
fundiaminy JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 354 Reaction score 52 Jul 10, 2009 Thread starter #3 Shishi said: Mmm hii kali.hebu tuanze analysis na picha yako? Click to expand... uko free kuiona shishi.fika kwa profile yangu.na hako kaua ukaondoe..hehehehe.
Shishi said: Mmm hii kali.hebu tuanze analysis na picha yako? Click to expand... uko free kuiona shishi.fika kwa profile yangu.na hako kaua ukaondoe..hehehehe.