Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,164 Reaction score 1,293 Jan 26, 2015 #2 kwani umeambiwa vina madhara mkuu? we kunywa tu mpaka mwisho siku vikikufanya vibaya utajikuta tu automatically umeacha
kwani umeambiwa vina madhara mkuu? we kunywa tu mpaka mwisho siku vikikufanya vibaya utajikuta tu automatically umeacha
M mafrizo Member Joined Nov 5, 2014 Posts 35 Reaction score 5 Jan 26, 2015 #3 Endelea kunywa tu muzee hadi vikukaushe maini ndo utaacha.
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,979 Reaction score 3,105 Jan 26, 2015 #4 Iambie akili na moyo wako kuwa hutaki tena na ulifanyie kazi hilo, hiyo itakuua kama usipochukua hatua
Iambie akili na moyo wako kuwa hutaki tena na ulifanyie kazi hilo, hiyo itakuua kama usipochukua hatua