Jamani wadau msaada please

kwani umeambiwa vina madhara mkuu? we kunywa tu mpaka mwisho siku vikikufanya vibaya utajikuta tu automatically umeacha
 
Iambie akili na moyo wako kuwa hutaki tena na ulifanyie kazi hilo, hiyo itakuua kama usipochukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…