Qulfayaqul
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 480
- 84
Mwananchi wametoa shortlist ya walioomba kazi katika gazeti la mwananchi la leo tarehe 08.08.2012. Ila hawajatoa majina wametoa condition tu za wanaoitwa kama:
1. Muombaji lazima awe na umri usiozidi miaka 40.
2. Muombaji lazima awe aliomba kwa kutumia barua iliyoandikwa kwa mkono.
3. Lazima awe aliambatanisha picha ya pasport size.
Na vingine vingi nimevisahau. Hebu jaribu kununua gazeti la mwananchi la leo 08.08.2012