Qulfayaqul
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 480
- 84
Hivi hiki kigezi kwamba barua iwe imeandikwa kwa mkono kinazingatia viwango/kanuni gani?
Mwananchi wametoa shortlist ya walioomba kazi katika gazeti la mwananchi la leo tarehe 08.08.2012. Ila hawajatoa majina wametoa condition tu za wanaoitwa kama:
1. Muombaji lazima awe na umri usiozidi miaka 40.
2. Muombaji lazima awe aliomba kwa kutumia barua iliyoandikwa kwa mkono.
3. Lazima awe aliambatanisha picha ya pasport size.
Na vingine vingi nimevisahau. Hebu jaribu kununua gazeti la mwananchi la leo 08.08.2012
makubwa haya.
mkuu amekosea aliye post! Hivyo vigezo ni vya wasiohitajika! Alikuwa na haraka mno!
Kwa kweli hii issue ya NHIF imekaa kihuni sana ni vipi unautangazia umma kwamba waombaji wenye masters walioomba wasihudhurie? Hii issue ni ya kwanza kuiona na kuisikia tena kupitia agency kubwa ya serikali....hapa lazima kieleweke nitaandika barua nhif na kuicopy utumishi, public service commission na wizara ya afya kulaani taratibu za kikandamizi na zisizo na tija kama hizi....sasa wakati serikali inahimiza watanzania tusome ili tuongeze ujuzi hawa wanasema waliosoma sana hawaitajiki bila shaka watakuwa ni wazee wa zamani wanye "vijanaphobia" katika soko la ajira....shame on them NHIF...nimekwazika sana sana sana..aaagh!!!
ntajie page mkuu katika hilo gazeti1. kama umri umezidi 40 usiende
2. kama application latter hukuandika kwa mkono usiende
3. kama hukuweka picha usiende
5. kama unayo masters usiende except kwa post ya risk officer
6.kwa post za udereva kama elimu yako chini ya form four usiende
7. post of quality assurance officer applicants who are not medical doctors
8. post of risk officer applicants hawe na uzoefu wa sio chini ya 3 years
9.post of senior admini, senior HR applicants kama hauna degree au diploma ya human resource, public admin, sociology usiende, na pia huwe na experience ya miaka angalau mitatu.
nimescan page ya hilo gazeti but nashindwa jinsi yakuwawekea labda mtu anielekeze