M Makareti Member Joined Jul 6, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Aug 12, 2012 #21 jamani mwenye ilo gazeti naomba anipost humu jamii forum maake wengine tulikuwa tumeshakata tamaa na siku ndo zinayoyoma hivyo,thaxs kwa news japo hawa watu waswahili sana. wanataka watujue wangapi tuna shida ya ajira.
jamani mwenye ilo gazeti naomba anipost humu jamii forum maake wengine tulikuwa tumeshakata tamaa na siku ndo zinayoyoma hivyo,thaxs kwa news japo hawa watu waswahili sana. wanataka watujue wangapi tuna shida ya ajira.
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Aug 12, 2012 #22 Little Angel said: makubwa haya. Click to expand... Madogo yananafuu.