Jamani wadau wa cpa mbona new conversion scheme simplified inatoa favor kwa wanao daiwa p15????

MTU WA MAPEMA

New Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Jamani wadau wa CPA(T), naona kama NBAA wameyumba kidogo, kwani kwenye new conversion simplified
Mtu anayedaiwa P15 ya Module E na Module F hakufaulu, atafanya kwenye syllabus mpya Corporate Reporting C1, Perfomance Management B5, Auditing C2, hivyo ukichanganya na masomo aliyofaulu Module E ambayo ni Internationa Finance P16, na Tax P17, watu hawa watapata CPA kwa kumaliza Masomo 5. wakati syllabus iliyopita ilimpasa amalize masomo 6 ndo apate CPA.

Kwa watu wanaodaiwa International Finance P16 ya Module E na Module F hakufaulu, kwenye syllanus mpya atafanya, Corporate reporting C1, Perfomance Management B5, Auditing C2, Business and corporate finance C3. Hivyo ukichanganya na Masomo aliyofaulu Module E, ambayo ni Financial Reporting P15 na Tax P17, watu hawa watapata CPA kwa kumaliza masomo 6. ambayo ni sawa kabisa na syllabus iliyopita ilivyokuwa inahitaji.

Kwa watu wanaodaiwa Tax P17 ya Module E na Module F hawakufaulu, kwenye Syllabus mpya atafanya Coroprate reporting C1, Perfomance Management B5, Auditing C2, Tax C4. Hivyo ukichanganya na masomo aliyofaulu Module E, ambayo ni Financial Reporting P15 na International Finance P16, watu hawa watapata CPA kwa kumaliza masomo 6. ambayo ni sawa na syllabus iliyopita ilivyokuwa inahitaji.

Sasa kama kwahamisha watu kutoka syllabus ya zamani kwenda mpya si ilibidi watu wote waliokutwa na syllabus mpya na wanazo refferal kwenye module E na hawakufaulu Module Fwapatiwe masomo ambayo yatimiza idadi sawa ya masomo 6 ambayo wanayo wenzao, na pia ili iwe sawa na syllabus ya zamani ilivyokuwa ianhitaji???

Wadau hamuoni hapo ikiachwa hivyo kuna watu watapata CPA kwa kumaliza masomo 6 agali wengine wakimaliza kwa masomo 5 ?????
 
wasiwasi wako nn mkuu aiwezekan akarudia somo ambalo anatakiwa kulifanya mabadiliko lazima baadhi waumie na baadhi wanufaike we komaa tu kama umedakwa if au tax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…