Jamani wakuu naomba jibu hili. Huenda kuna mtu imemkuta au itamkuta baada yangu

Jamani wakuu naomba jibu hili. Huenda kuna mtu imemkuta au itamkuta baada yangu

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Ndugu zangu naomba msaada wenu kwenye profile yangu nimekuwa admitted lakini majina ya waliochaguliwa chuoni simo naomba msaada wenu mzee mwenyewe hapa nahisi atasema nilimdanganya.
 
Nenda TCU ukaulizie na hiyo profile onyesha. Fanya fasta
 
Nashukuru sana ndugu zangu kwa ushauri ngoja nijaribu then nitarudi jukwaani kuwashukuru du! Jasho linanitoka.
 
mkuu scan page ambayo imeandikwa admitted then nenda nayo chuo usika watakupa admission letter usikhofu mkuu:flypig:
 
Hawa jamaa tcu mara ya kwanza nimewasiliana nao wakasema nisubiri wanywe chai, mara ya pili mdada akanipokea akaniambia nisubiri ila nisikate sim vocha yenyewe airtel to ttcl baadae akaja mdada akaniambia nisubiri wapublish majina ndo niangalie.
 
Back
Top Bottom