K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Sep 11, 2012 #1 Ndugu zangu naomba msaada wenu kwenye profile yangu nimekuwa admitted lakini majina ya waliochaguliwa chuoni simo naomba msaada wenu mzee mwenyewe hapa nahisi atasema nilimdanganya.
Ndugu zangu naomba msaada wenu kwenye profile yangu nimekuwa admitted lakini majina ya waliochaguliwa chuoni simo naomba msaada wenu mzee mwenyewe hapa nahisi atasema nilimdanganya.
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Sep 11, 2012 #2 Wasiliana na TCU
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Sep 11, 2012 #4 Nenda TCU ukaulizie na hiyo profile onyesha. Fanya fasta
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 118 Sep 11, 2012 #5 mkuu pole sana wasiliana na tcu
K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Sep 11, 2012 Thread starter #6 Nashukuru sana ndugu zangu kwa ushauri ngoja nijaribu then nitarudi jukwaani kuwashukuru du! Jasho linanitoka.
Nashukuru sana ndugu zangu kwa ushauri ngoja nijaribu then nitarudi jukwaani kuwashukuru du! Jasho linanitoka.
M mdau kbt JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 401 Reaction score 166 Sep 11, 2012 #7 mkuu scan page ambayo imeandikwa admitted then nenda nayo chuo usika watakupa admission letter usikhofu mkuu:flypig:
mkuu scan page ambayo imeandikwa admitted then nenda nayo chuo usika watakupa admission letter usikhofu mkuu:flypig:
K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Sep 12, 2012 Thread starter #8 Hawa jamaa tcu mara ya kwanza nimewasiliana nao wakasema nisubiri wanywe chai, mara ya pili mdada akanipokea akaniambia nisubiri ila nisikate sim vocha yenyewe airtel to ttcl baadae akaja mdada akaniambia nisubiri wapublish majina ndo niangalie.
Hawa jamaa tcu mara ya kwanza nimewasiliana nao wakasema nisubiri wanywe chai, mara ya pili mdada akanipokea akaniambia nisubiri ila nisikate sim vocha yenyewe airtel to ttcl baadae akaja mdada akaniambia nisubiri wapublish majina ndo niangalie.