Jamani wakuu niombeeni nifanikishe

Kama Dar es salaam ngoja nimwambie Makonda maana alishakataza kugegedana muda wa kazi.
 
Kama Dar es salaam ngoja nimwambie Makonda maana alishakataza kugegedana muda wa kazi.
Mkuu Mimi mgeni hapa bongo ..mjasiriamali .kuna kimwana kimenipumbaza kweli kweli
 
Au umeshammezea kidonge,muite mhudumu wa kike muombe atume salamu kwa bei yoyote.
 
Nipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
hayo mahindi unayoyachoma sijui utamuuzia nani
 
mnaenda kwa zamu..........sasa ni zamu ya mwingine....zamu yako endelea kuvuta subira anakuja.
 
Nipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
Nipe namba ake.nimuimize aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…