Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuguso university!!!! Wapi hiyo?
mpuguso?? Ni chuo au ni kambi ya kuchoma mkaa.et mpuguso labda chuo cha maboksi
Mbona ujumbe wa mleta maada uko wazi kabisa? Yaani mmeshindwa kumwelewa japo kaandika (ili ajuaye kusoma na asome) na akachora (ili asiejua kusoma aone picha)???
Mana naona thread nyingi zisizo na maana watu wanatambia vyuo vyao nami nimeona nisiwe nyuma kutafuta wenzangu!
Boom boom