Jamani walimu wenzangu mmeskia hoja ya mbatia kuhusu elimu?

Jamani walimu wenzangu mmeskia hoja ya mbatia kuhusu elimu?

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
475
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wabunge wengi wanajadili mambo mengine kabisa lakin hata kugusia maslah ya walim hakuna kweli ni stress tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimeifuatilia hii hoja kwa karibu na leo nimethibitisha kuwa wabunge wa CCM hawapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya nchi bali ya serikali yao. Hoja ilikuwa mujarab kabisa lakini jinsi ilivyopinduliwa yaani sikuamini kabisa.
 
Yatanikoma madaftari, vitabu na hela ya kapitesheni, Niacheni
 
Nashangaa walimu wengi hasa msingi ndio wamekuwa washabiki wakubwa wa magamba!
 
Walijadili jinsi sera ya elimu ilivyo mbovu na mabadiliko ya mitaala ya mara kwa mara, lugha ya kufundishia, maslahi kwa walimu, mazingira ya kufundishia na kujifunzia, ukaguzi wa shule nk nk
 
Suluisho ni kuungana jamani kwamaana walimu ha2na umoja kabsa unamkuta afisa elimu wilaya/mkoa anamnyanyasa mwalim mwenzake yahan nawezasema wame2gawa 2ng'atane wenyew kwa wenyew kwani "VITA YA PANZI FURAHA YA KUNGURU". 2shikamane 2kombokee......
 
Baada ya kumwaga hadharani udhaifu wa elimu Tanzania, wakamfuata
5-James-Mbatia-kuliaWilliam-Mgimwana-kush-SShukuru-Kawabwa-margaret-Sitta-viti-maalum.jpg
 
Hivi huyu waziri wa fedha anafanya kazi wapi siku hizo, maana yake simsikii kabisa
 
Baada ya kumwaga hadharani udhaifu wa elimu Tanzania, wakamfuata
5-James-Mbatia-kuliaWilliam-Mgimwana-kush-SShukuru-Kawabwa-margaret-Sitta-viti-maalum.jpg

... Walimu ungeni hoja ya Bunge kuunda Tume ya kuchunguza madhaifa na madudu yalioko ktk wizara yenu ya Elimu' ili ubovu mwingine na madudu yagunduliwe.
Wabunge wote wa CCM wanakataa hoja hiyo ya wizara kuundiwa uchunguzi.
 
Kama ikiundwa tume nauhakika madudu yatakayopatikana humo ni zaidi ya richmond jaman kuchezea ubongo wa mtu hatar sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom