Nimeifuatilia hii hoja kwa karibu na leo nimethibitisha kuwa wabunge wa CCM hawapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya nchi bali ya serikali yao. Hoja ilikuwa mujarab kabisa lakini jinsi ilivyopinduliwa yaani sikuamini kabisa.
Walijadili jinsi sera ya elimu ilivyo mbovu na mabadiliko ya mitaala ya mara kwa mara, lugha ya kufundishia, maslahi kwa walimu, mazingira ya kufundishia na kujifunzia, ukaguzi wa shule nk nk
... Walimu ungeni hoja ya Bunge kuunda Tume ya kuchunguza madhaifa na madudu yalioko ktk wizara yenu ya Elimu' ili ubovu mwingine na madudu yagunduliwe.
Wabunge wote wa CCM wanakataa hoja hiyo ya wizara kuundiwa uchunguzi.