Jamani wana JF mmeona Soluisho la Hesabu Tanzania: Maths Video Tuition Duh!!! Hii kali……..

Joined
Jul 24, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Sikuamini pale nilipoona kwenye account yangu ya Face Book mtuamenitumia link ya Math Video Tuition; nilipofungua nilishangaa kumbe wakati serikaliinalalamika na kuunda kamati kutatua tatizo la kufeli hasa somo la hesabu kuna watu wanafanya vitu vyaukweli. Nilichokiona ni kama formati ya software za kufundisha Ordinary levelyaaan form one mpaka four. Ebu ingia kwenye hii link: www.facebook.com/MathVideoTuition Kweli hawa ni wana mapinduzihesabu kwa namna hii ni nyepesi mno natamani kurudi shuleni……. Kamawewe ni mpenda maendeleo Tembelea page na share na wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…