Jamani wanajamvi , jinsi gani unaweza kudai pesa yako ya mshahara kwa mwajiri wa shule asiye kulipa zaidi ya miez 6?.

siza joel

Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
40
Reaction score
19
Jaman , Mimi n mfanyakazi katika shule moja ya private hapa dar es salaam , mwajiri wangu ajanilpa mishara yangu zaidi ya 6 mpaka sasa, hataki kuniunganisha HESLB, hataki kuniunganisha na bima. naomba msaada wa kisheria jinsi ya kupatiwa stahiki zangu.
 
mienzi sita ujalipwa na unaendelea kufanya kazi kama kawaida duh,tatizo la ajira linasababisha hao waajiri waachukulie poa ,kwa kua wanajua hauana pakukimbilia ,ebu mpelekee barua ya kuacha kazi na ya kumshataki uone kama hajakulipa chap,mkataba wenu ukoje?
 
Mkataba unasema atanilipa kila mwezi, na extra time.
 
Back
Top Bottom