Pole sana kwa hayo maradhi yako ndugu Ukiwa bado hujapata Dawa ya kukutibia nyayo zako kuwaka moto nitafute mimi Dawa ninayo ninaweza kukutibia na ukapona na ukasahau kama unayo hayo Maradhi ya nyayo kuwaka moto ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.Mawasilianojamani wanajamvi naomba mnisaidie, nimeugua ugonjwa wa miguu kuwaka moto takribani miaka minne sasa, nimepima kila kipimo, nimetumia dawa za kienyeji za kila aina bado sijaona mabadiliko! ugonjwa huu hutokea pale unapotembea umbali mrefu, wakati wa kulala na asubuhi ndo huwa maumivu yanakuwa makali na nisehemu za unyayo tu maumivu hayapandi juu! NI NINI NAOMBA MSAADA NDUGU ZANGU!!!!!!!!