Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
umejuaje?karibu kwa ID mpya
Natanguliza salamu kwa wakubwa na wadogo Nipokeeni
Nia yako ya kujiunga hasa ni nini...???Natanguliza salamu kwa wakubwa na wadogo Nipokeeni
Nia yako ya kujiunga hasa ni nini...???
1...... kutuonyesha jinsi unavyoweza kuja na ID ngumu ngumu.....
2...... kututajia kama wewe ni mwanamke au mwanume........
3...... uchangiaji wako ni wa jazba ...........
4....... unatukana sana kwenye kuchangia hoja.na hasa imani ya dini yako inapokuswa........
5........ umeshakutana na wanaume/wanawake wangapi...tangu uzaliwe
6....... End of Thinking Capacity.........