Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
- Thread starter
-
- #21
Jina lako Gumu Kachanchabuseta sura yako inatishia amaniMkuu kama ukaribishaji ndo huu mmmh jamani
Jina lako Gumu Kachanchabuseta sura yako inatishia amani
karibu sana na wewe naona u mgeni pia
karibu kwa ID mpya
umejuaje?
Kupokelewa manta hofu karibia ila unajina zito kama Avatar yako...karibu sanaa