jamani wanaume tumekuwa adimu

wanawake wangukuwa wachache pangekuwa hapatosh hapa duniani,ful watu kuuwana,ugomvi daily kugombea mbunyeee,mungu ana makusudu yake kuwafanya wawe wengi ona hata takwimu hospitalini katika watoto 10,wawili tu ndo vidume,,,,,,,napenda sana hii kitu

Teh teh....nimeipenda hii mkuu,imetulia.
 
du unachekesha...unahesabu wanaume kwa kutumia kigezo cha WAVAA SURUALI?
wanaume matendo kaka....labda ao woooooooooote uliowaona mwanaume yupo 1 wngne woooooooooooote:target::target:

Ama unaponda mdada, utafikiri ushawaona wanaume wote na sasa ndo unatoa analysis. Mwanaume ni mwanaume tuu, labda kama mnataka kuwaunganishia humohumo na wavulana/wa kiume.
 
Mwee jamani...hii ni hatari aisee
 
Ama unaponda mdada, utafikiri ushawaona wanaume wote na sasa ndo unatoa analysis. Mwanaume ni mwanaume tuu, labda kama mnataka kuwaunganishia humohumo na wavulana/wa kiume.

apana .nakataa et mwanaume ni mwanaume tu mhh hell nooooooooooooooooo....so mwanaume shoga ni sawa na mwanaume wa kawaida?
mwanaume mlev..anampga mkewe ajali family ni sawa na yule anayejali famil?

kuna magrade ya wanaume ..SIO KILA MVAA SURUALI NI MWANAUME...ndoa apo penye WANAUME NI WACHACHE TENA WACHACHE SANA...weng wenu magume gume tu:rolleyez:
 
Mwanaume matendo yapi hayo unayowaza wewe tatizo mmefanya kama chakula wakati watu wanawaza maendeleo. Kaeni hivyo hivyo na mapepo yenu na bora warudishe kukeketa.
du unachekesha...unahesabu wanaume kwa kutumia kigezo cha WAVAA SURUALI?
wanaume matendo kaka....labda ao woooooooooote uliowaona mwanaume yupo 1 wngne woooooooooooote:target::target:
 
du unachekesha...unahesabu wanaume kwa kutumia kigezo cha WAVAA SURUALI?
wanaume matendo kaka....labda ao woooooooooote uliowaona mwanaume yupo 1 wngne woooooooooooote:target::target:

Wewe mtoto Jogoo halei vifaranga.
Kazi ya mwanaume ni moja kuchukua kojoleo lake na kuchomeka panapo husika.
 
apana .nakataa et mwanaume ni mwanaume

Unataka kulazimisha mwanaume nae abebe mimba sio? Mwanaume tofauti na mwanamke, na mwanamke utaendelea kuwa mwanamke tu usitake kulazimisha kukojoa umesimama utajichafua nguo shauri yako.
 
Hata kama utawa grade lakini uanaume wao utabaki pale pale, hizo zingine zinabaki kuwa tabia za watu tuu, kitu ambacho haiwezekani watu wote wakawa na tabia moja na hasa uipendayo wewe. Kwani mlevi hana joka la kibisaaaa???? maana ndo uanaume unaanzia hapo.
 
Mwanaume matendo yapi hayo unayowaza wewe tatizo mmefanya kama chakula wakati watu wanawaza maendeleo. Kaeni hivyo hivyo na mapepo yenu na bora warudishe kukeketa.

hah hahaha kinawauma ehhh? AFU ELEWA KWANZA APA SIJAONGELEA NGONO WEWE MWENYE KUVAA SURUALI...sasa tuendelee:hippie:
ndo manake babu..wanaume wenye uanaume ni wachache..chek wangap wamelelewa na mama tu?bab katelekeza famil..mnasomeshwa na mama zenu mpk lenu mmeweza.. kununua DADAVUZI MPAKATO bas mnajionaaaaaaaaaaaaa et ohh wanaume wachache ehh ni kweli ni wachache...cz mnayotakiwa kutenda km wanaume hamtend..sasa bado tuwaite wanaume?....MWANAUMEANA SIFA ZAKE BWANA...UKIKAA NAE UNAJUA YAP THIS IS A MAN..
 
Lakinim mzee mwenzangu usilolijua ni kwamba......................Kuna ongezeko kubwa la MASHOGA..........Hilo unalionaje?
 
habari ndo iyo..siku izi tukienda weddng bells kununua shela tunakutana nao wanajaribisha shela nao sasa bado unataka kuniaminisha uyu nae mwanaume?....ahhh:A S-cry:nagoma bin nalia babu....mpo wachache pia kubali...ndo mana kuna wadada utawaskia ahh yule nae anataka kunioa lakin ahh sio mwanaume kabsa...lakin kwa nje ukimwona ni njemba kubwa..lina gari....lina mahela ..na kudo ana do..sasa apo utajiuliza sio mwanaume kivip...thk then nipe jibu
 
Lakinim mzee mwenzangu usilolijua ni kwamba......................Kuna ongezeko kubwa la MASHOGA..........Hilo unalionaje?

Naamini mashoga wengi wanatokana na malezi mabaya ya wanawake, mtoto wa kiume mlee kiume asilelewe kidada dada unakuta mtoto wa kiume anavalishwa gauni la mtoto wa kike hii tafsiri yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…